Maji yameshamwagika hazoleki tutadeki kama ilivyolelezwa tu lakini ni kweli Richa bhafiki/b popote kwenye Miss World. Watanznaia wengi hawaukukukubali ushindi wake na hawatampigia kura na pia hawawakilishi watanznaia walio wengi weusi. b....../b Kinondoni kuna Makaburi maarufu, shule ya Muslim, soko la MaTX na pale kwa yule shangazi yetu fulani mwenye danguro la muda mrefu. mitaa ya ushuani Oyster Bay na vitongoji vyake Msasani, Regent, Ada bEstate/b, Mikocheni, Mbezi Beach na ...